![]() ![]() |
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() ![]() |
Katika habari
The Foundation for Civil Society inapenda kuwatangazia AZAKi zilizopata ruzuku kutoka kwa The Foundation for Civil Society&n..
![]() Mafunzo kwa waganga wa tiba za jadi yaliyotolewa na shirika la Elimisha Jamii wanawake Songea (EJAWASO) na kuwezeshwa na Foundation for Civil Society kwa waganga wa tiba za jadi wilayani Songea yameleta mabadiliko chanya juu ya mwenendo wa maadili na matendo katika utoaji huduma kwa wagonjwa unaofanywa na waganga hao.
..
17 Julai 2006,
Tunashukuru kupata fursa hii ya kuwasilisha Taarifa ya mwaka 2005 ya Foundation For Civil Society, ambayo ni ya tatu tangu kuanzishwa kwa Foundation. Pia ni furaha kwetu kuona kwamba Foundation imeweza kumpata Mkurugenzi Mtendaji mpya, Bw.John U..
Katika mzunguko wa kwanza wa maombi ya ruzuku ya kazi (medium grant) yaliyofanywa mwezi Februari 2006, Jumla ya asasi za kiraia 19 zimefaulu kupatiwa ruzuku ya shilingi milioni 527.5 kutoka the Foundation for Civil Society. Mashirika hayo ni
kama ifuatavyo;
..
![]() The Foundation for Civil Society Tanzania, hivi karibuni imempata Rais wake wa kwanza kufuatia mabadiliko ya mfumo wa uongozi wa shirika. Rais huyo ni Bwana Alais Ole Morindat (Pichani).
Bwana Morindat amechaguliwa na Wanachama Wapya (Members)..
|
Grants DatabaseSearch our grants database
Wasifu wa MwanachamaTafuta
Opinion Poll
|
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Copyright 2007 The Foundation for Civil Society. All Rights Reserved. Design by Darcity | ||||||||||||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|